Featured

Jumatano, 20 Aprili 2016

Tujikumbushe: Tazama Video Hii ya Ezekiel Wenje Akizungumzia Ufisadi wa Kutisha Uliofanywa na Wilson Kabwe Katika Jiji la Mwanza


Mkurugenzi  wa Jiji la Dar es Salaam aliyesimamishwa kazi Jana, Wilson Kabwe alishawahi kutuhumiwa kwa Ufisadi wa kutisha alioufanya Jijini Mwanza.

Kabla ya kuhamishiwa jijini Dar es salaam, Kabwe alikuwa ni mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambaye alihamishiwa Mwanza akitokea Mbeya baada ya kutuhumiwa kwa  tuhuma kadha.

Tuhuma hizo zilitolewa na Ezekiel Wenje aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana kipindi cha awamu ya nne.
Copyright © 2015 TANZANIA YETU
| Distributed By Gooyaabi Templates